Habari
Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 42 – June 1, 2018
Kikao cha 42, Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea Jijini Dodoma, Leo Bunge linaongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Tulia Ackson. Angalia kipindi cha Maswali na Majibu leo June 1, 2018.
https://www.facebook.com/bungetz1/videos/1049599815206600/?t=3033