Michezo

Timu 16 kukiwasha Kagame Cup

TIMU 16 KUKIWASHA KAGAME CUP ZANZIBAR Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati imerejea na itaamza kutimua vumbi Julai 6 hadi 22 mwaka huu visiwani Zanzibar.

Timu zitakazoshiriki ni :-

1. Yanga SC – Tanzania Bara,

2. Simba SC – Tanzania Bara,

3. Azam FC – Tanzania Bara,

4. Coastal Union – Tanzania Bara

5. JKU SC – Zanzibar

6. Vital’O – Burundi,

7. APR FC – Rwanda,

8. Al Merreikh – Sudan,

9. Al Hilal – Sudan,

10. Hai El Wadi – Sudan,

11. Gor Mahia – Kenya,

12. SC Villa – Uganda,

13. Bentiu – Sudan Kusini, Aidha, timu tatu kutoka nje ya nchi wanachama wa CECAFA zilizoalikwa na kuthibitisha kushiriki michuano hiyo ni TP Mazembe (DR Congo), Nyasa Big Bullets (Malawi) na Red Arrows ya Zambia.

Image

Kuwepo kwa mashindano haya na kwa mujibu wa kalenda ya CAF, hakutakuwepo na michuano ya CECAFA kwa timu za taifa ( CECAFA Senior Challenge Cup) ambayo awali ilipangwa kufanyika Juni 29 hadi Julai 14.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents