Habari

Tit for Tat: Tyga ashoot video na ex wa Drake!

Hakuna njia nzuri ya kumuumiza adui yako kama kuwa karibu na ex wake. Baada ya Drake kuanzisha ukaribu na mke wa zamani wa Tyga, Blac Chyna, Tyga amejibu mapigo kwa kushoot video na ex wa adui yake huyo aliyemuita ‘fake’ hivi karibuni.

tyga-dollicia
Tyga na ex wa Drake, Dollicia

Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Dollicia Bryan ataonekana kwenye video ya Tyga ya wimbo wake ‘Make It Work. Wimbo huo ulitoka mwezi uliopita ukiwa na mashairi kama “Ni**a never was my homie, all these bitches know you corny.”

Dollicia aliongeza utamu zaidi pale alipopost picha akiwa na Tyga aliyemshika ‘as*’ yake.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents