Habari

Too sexy to fly? Air New Zealand yashambuliwa kwa kutengeneza video ya usalama ndani ya ndege yenye utata

Shirika la ndege la Air New Zealand limeshambuliwa kwa kutengeneza video ya usalama kwenye ndege ambayo huweka wakati ndege inajiandaa kupaa ikihusisha warembo wakiwa na bikini na nguo za utata. Wengi wanasema video hiyo inatamanisha mno!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents