Habari

Tukiambiwa uchumi umepanda tunataka tuone umaskini kwa Watanzania umepungua – Mbunge Kombo (+video)

Mbunge Wingwi,Juma Kombo Hamad, amesema kuwa watakapo ambiwa na serikali kuwa uchumi wa Tanzania umepanda anataka kuona umaskini kwa Watanzania umepungua.Tazama video hii Mbunge huyo akieleza:

Mbunge Juma Kombo ametoa kauli hiyo wakai akichangia hoja mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents