Burudani
Uchawa ndio utajiri wangu – Mwijaku (Video)
Mwijaku akipiga stori na @el_mando_tz ameizungumzia video yake iliyosambaa akimuomba hela mtoto mdogo.
Mwijaku anasema yeye haogopi kuomba hela kwa mtu ambaye amemzidi, yule ni mtoto wa tajiri na baada ya kumuomba hela mama yake amenialika Futari.
Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Host: @el_mando_tz Edited by @abbrah255