Burudani

Uhusiano wangu na B’Hits haujafa, Hermy ni kama kaka yangu – Vanessa Mdee

Vanessa Mdee amesema pamoja na kuondoka B’Hits Music Group, bado uhusiano wake na label hiyo upo vizuri.

Akiongea kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen, Vanessa alisema bado anamchukulia Hermy B kama kaka yake.

“Tuko vizuri sana, Hermy ni rafiki yangu, ni kaka yangu hata nikihitaji ushauri leo naweza nikampigia na hatokuwa na shida ya kunipa ushauri kwahiyo you know he is my good friend mkataba wetu ulifikia tu tamati,” alisema.

Vanessa alikuwa nchini Kenya kwenye media tour.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents