Habari

Usher ala shavu la kupromote gari jipya la Mercedes-Benz A45 AMG

Pop star Usher amepewa shavu la watengenezaji wa magari wa Ujerumani, Mercedes-Benz kupromote gari zao mpya za A45 AMG.

Mercedes-A45-AMG-13C251_020

Usher ambaye tayari ana miliki gari hilo atazungumza na mashabiki wake kuhusu jinsi alivyoliona gari hilo kupitia Facebook.

k-bigpic

Ikiwa ni sehemu ya kazi yake kama msemaji wa gari hizo, Usher alitembelea kiwanda cha Mercedes Benz kujifunza zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents