Burudani

Video: Cheka kwa kumsikia DJ Khaled akiongea Kiswahili kwenye ‘Hold You Down’

Pamoja na Chris Brown, Jeremiah, August Alsina na Future kuupendezesha wimbo ‘Hold You Down’, DJ Khaled ameuongezea utamu kwa namna anavyojipa promo kwa mpenzi wake. Raha zaidi ni kumsikia akiongea kwa Kiswahili. Enjoy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents