Habari

Video: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu waendelea kumlilia Mh. Lissu

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Helen Kijo-Bisimba amesema kuwa serikali ina paswa kuheshimu haki za kisiasa watu walizonazo wanasiasa.Tazama video hii Mkurugenzi huyo akimzungumzia Mh. Tundu Lissu aliyepigwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7 mwaka huu eneo la ‘area D’ mjini Dodoma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents