Burudani

Video: Kupata mtoto nje ya ndoa ilikuwa bahati mbaya – Kala Jeremiah

Msanii wa muziki wa hip hop, Kala Jeremiah amedai hakupanga kupata mtoto nje ya ndoa. Rapa huyo amedai ameipokea bahati mbaya hiyo kama zawadi kutoka kwa Mungu katika maisha yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents