HabariMichezo

Video: Mshahara wa Bacca tumeongeza mara mbili, atacheza Yanga mkapa azeeke

”Leo tutangaza maendeleo ya mkataba kati ya Bacca na Klabu ya Young Africans, yatakayomfanya acheze mpaka azeeke….. wakati anakuja Bacca alikuwa na mshahara ambao kwa wakati ule ulikuwa mkubwa kwake lakini sasa mshahara huo umeongezwa mara mbili.”- Rais wa Yanga SC Eng. Hersi Said

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents