BurudaniUncategorized

Video: Mubenga A-Z anachomdai Ommy Dimpoz ‘nikifa nisizikwe mpaka nilipwe’

Aliyekuwa meneja wa Ommy Dimpoz, Mubenga amefunguka kwa kudai kuwa uzalendo umemshinda sasa anataka chache kutoka kwa muimbaji huyo wa RockStar400 kama walivyoahidiana. Wawili hao walioachana baada ya kufanya kazi kwa pamoja kwa kipindi cha miaka 6. Mubenga ameiambia Bongo5 kuwa baada ya kuachana na muimbaji huyo walikubaliana aliyepwe kiasi cha pesa lakini mpaka sasa ni zaidi ya miaka mitatu hajapata chochote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents