Habari

Video: Nchi hii ina uwezo wa ajabu, ndio maana tunaonewa wivu – Rais Magufuli

Katika mapokezi ya ndege Bombardier Jumatatu hii, Rais John Pombe Magufuli amefunguka kuzungumzia namna nchi ya Tanzania inavyoonewa wivu na baadhi ya watu. Aliyasema hayo mapema jana katika mapokezi ya ndege hiyo uwanja wa JK Nyerere Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents