Video: Ne-Yo adai aliwahi kuoa akiwa na miaka 19

Mwandishi wa mtandao wa TMZ alikutana na Ne-Yo aliyekuwa akiondoka kwenye club ya Supperclub mjini L.A. wiki hii ambaye aliamua kutoa siri ambayo hakuna aliyekuwa akiifahamu kuwa aliwahi kuoa miaka 11 iliyopita.

Ne-Yo alidai ndoa yao haikuweza kudumu kwakuwa yeye alipenda kufanya muziki na mke wake hakupenda awe hivyo hali iliyosababisha waachane.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents