Burudani
VIDEO: Nipo tayari kuolewa na Diamond, hata mume wangu anajua – Official Lynn
Video Queen maarufu nchini Tanzania, Lynn amesema kuwa yupo tayari kuolewa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na hata mumewe anajua hilo.