Michezo

#KariakooDerby: Simba SC na Yanga zatoshana nguvu Uwanja wa Taifa

Klabu ya Simba imetoshana nguvu na klabu ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania uliochezwa kunako dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Mchezo huo ulianza kwa kasi ambapo Simba ndio walikuwa wanamiliki mpira karibia vipindi vyote kwa asilimia 80 na kutinga golini mara nyingi kuliko Yanga.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents