Michezo

Sidhani kama nitabaki Yanga – Joyce Lomalisa

“Mimi bado ni mchezaji wa Yanga, lakini mwisho wa msimu kila kitu kitajulikana kwasababu ndio mkataba unamalizika hivyo kama nitabaki au nitaondoka kila mmoja atafahamu,” Joyce Lomalisa.

“Napenda kubaki Yanga lakini hawajanifuata kwaajili ya mazungumzo ya mkataba mpya nimebakiza mwezi mmoja tu hakuna mazungumzo yoyote hivyo kama kuna timu zinahitaji huduma yangu zinatakiwa kuwasiliana na meneja wangu yupo Angola,”

Joyce Lomalisa

“Mchezaji unaenda kwenye timu ambayo una uhakika wa kupata maisha mazuri na kutumikia mkataba wako kwa usahihi kuanzia kucheza na kuipa timu matokeo.” alisema Joyce Lomalisa.

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

 

cc:SportsArena

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents