Michezo

Vinicius Junior na Rekodi za ajabu Klabu Bingwa Ulaya (Video)

30/2 —TANGU 2021-22, supastaa wa Real Madrid, Vinicius Junior amehusika na mabao mengi zaidi Ligi ya Mabingwa Ulaya kuliko mchezaji yeyote Ulaya (30 – kafunga 15, asisti 15). Pia kafunga mara 2 katika mechi moja ya mashindano mara 13, na tano kati ya hizo msimu huu akifanya hivyo mara nne Ligi ya Mabingwa.
Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents