Michezo

Yanga imekuwa Kero – Farhan Kihamu

Ukiachana kero kadhaa ndani ya nchi, kero ya daladala, kero za upwiru, kero za bei za mafuta kupanda na kushuka, kero ya mvua basi ongeza na kero nyingine nayo ni YANGA AFRIKA, ni kero tu! Ligi Kuu wanaongoza, FA wanaitaka, Derby wametakata, ni kero tu, ukisema Pacome kafungiwa ghafla unamkuta ni kero tu, ukisema wananunua mechi wenyewe wanakuuliza umewafunga lini? Ni kero tu! Wananchi ni kero tu.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents