Burudani

Video: Roma alijibu ‘dongo’ alilopigwa na Nay wa Mitego kwenye Mr Nay

Hatimaye Roma amelijibu dongo alilopigwa na Nay wa Mitego kwenye wimbo wake ‘Mr Nay’ ambapo aliwataja yeye na Kala Jeremiah kuwa wamepotea kwenye game.

“Sishangai,” Roma aliiambia Bongo5. “Kama mtu amethubutu kumchana mama yake mzazi, akaona haitoshi akamchana baba yake mzazi, sembuse Roma.”

Hata hivyo Roma na Nay wa Mitego ni washkaji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents