Burudani
Video: Tazama interview ya Izzo B kwenye The Playlist ya Times FM
Mtangazaji wa Times FM, Lil Ommy ameendelea ku-upload interviews anavyofanya na mastaa kwenye kipindi chake cha The Playlist ambacho kinawashusha mastaa ndani ya studio za 100.5 Times FM kila Jumapili Saa 10 – 12 jioni, wakichagua nyimbo tano wanazopenda na kuwahoji mambo muhimu kuhusu mtindo wa maisha, fashion na burudani.
Izzo B alizungumza mambo mengi muhimu kuhusu muziki wake, Ngwair, Suma Lee, Sugu, Master Jay, Marco Chali, Nah Reel, Wema Sepetu, Jokate, Kajala, Vaneesa Mdee, Quick Rocker, Duppy, Mwana FA, G Nako, Navio na wengine kibao. Itazame hapo juu.