Burudani
Video: The Game amuomba radhi Nicki Minaj kwa kumhusisha katika bifu yake na Meek Mill
Rapper The Game amemuomba radhi Nicki Minaj baada ya kumhusisha kwenye bifu yake na Meek Mill.
“Nicki should just stay out of it,” alisema Game kwenye interview na The Breakfast Club. “She’s in her lane, doing her thing, she’s an amazing artist. I got love and respect for her. I’m sorry I had to drag her into this and it was a minimal drag but she wasn’t disrespected. At all. I went and did what I had to do.”
The Game akiwa katika Interview ya The Breakfast Club