Burudani

Wakenya wamkalia shingoni Victoria Kimani baada ya kuwaambia hawasupport wasanii wao

Victoria Kimani analihisi joto la hasira kutoka kwa wakenya walioanzisha hashtag #SomeoneTellVictoriaKimani baada ya juzi kuwalalamikia kuwa wamekuwa nyuma kuwaunga mkono wasanii wao.

11328255_1618224178456540_990057236_n

“Life without art is hell….how can the Kenyan youth not have an interest in the arts ? Who robbed us of our self expression?” alitweet Kimani.

“Lupita had to travel and be uplifted by others for you be proud. We are the least patriotic people on this continent as it pertains to the arts,” aliongeza.

“The least supportive …. Kenyans make it hard for an artist to be an artist , this includes fashion art music acting whatever.Then get angry when we are appreciated elsewhere, this is heartbreak,” alisisitiza.

Hata hivyo kauli yake imeamsha hasira za wakenya wengi walioanzisha hashtag hiyo.

Hizi ni baadhi tu ya tweets:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents