Habari

Wapalestina na Israel wasimamisha vita kupisha swala ya Eid ambayo imefanyika leo

Baada ya kuelewa kuwa wasitishe vita ili kupisha sikukuu ya Eid ambayo imefanyika leo, waislam wa Plaestina wameswali swala yao ya Eid katika viwanja vya msikiti wa Al-Agsa ambao ulitumia kama kituo cha vita kati ya Wapalestina na Israel wakiendelea kuugombani mji wa Jerusalem.

Katika msikiti huo wa Al-Aqsa wanajeshi wa Israel wanaelezwa kuwa walivamia waumini ambao walikuwa wanaswali kufuatia mfungo wa Ramadhani na kuwaua zaidi ya Waislam 35 huku wengine wakijeruhiwa, hivyo Wapalestina wakaona wautumie uwanja huo kuswali Swala ya Eid.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents