Burudani

Wasanii wa bendi walia na hali mbaya kipindi cha corona, wakutana na BASATA kujadili (Video)

Viongozi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Wadau na Wasanii kwa pamoja wakiwa kwenye kikao kinachoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya BASATA Bw. Habbi Gunze. Lengo hasa la mkutano huu ni kujadili namna gani ya kufanya shughuli za Sanaa katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha ugonjwa hatari wa Corona.

Mkutano huu unafanyika leo tarehe 28/05/2020 kwenye ukumbi mpya wa BASATA uliopo Ilala – Shariff Shamba jijini Dar es Salaam.

Je ni taratibu gani ziwekwe ili kuendesha matamasha na shows za kiburudani kipindi hiki cha Corona?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents