Habari
Wastara amwaga machozi akimshukuru Rais Magufuli (+Video)
Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kumtuma Katibu wake Ngusa Samike kiasi cha shilingi milioni 15, Hatimae Wastara amemshukuru Rais huyu huku akitoa machozi ya furaha; Tazama video hii akilia.