Habari

Watu watano hawajulikani walipo baada ya Ndege kuwaka moto

Muda mfupi uliopita, tulikufahamisha kwamba maafisa walidhani ndege iliyowaka moto mjini Tokyo huenda iligongana na ndege ya walinzi wa pwani ya Japan.

Sasa, mashirika ya habari ya Japan TBS na NHK wanasema mtu mmoja aliyekuwa kwenye ndege ya walinzi wa pwani alitoroka, huku wengine watano wakiwa hawajulikani waliko.

Tutakuletea taarifa kuhusiana na hili punde tu tutakapopata maelezo zaidi.

Link ipo chii hapa.

https://www.instagram.com/reel/C1mHQI1tM3O/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents