Habari

Waziri Jafo awaachia viongozi swali zito mbele ya Rais Magufuli (+video)

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema kuwa kupewa madaraka ni dhamana hukua akieleza kuwa hakuna swali zito na gumu kama kuulizwa na Mwenyezi Mungu juu ya dhamana uliyopewa dunia ya kuwatumikia wananchi. Tazama video hii akizungumza;

Rais Magufuli ameyasema hayo baada ya kuawaapisha, Mhe. Alphayo Kidata kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada na Bw. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, leo Mei 10 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents