Habari

Waziri Mkuu aagiza pikipiki zilitolewa na Rais zikabidhiwa kwa maafisa

Waziri Mkuu,  @KassimMajaliwa_ akikagua pikipiki zilizopo katika Ofisi za Wizara ya Kilimo jijini Dodoma,  Juni 8, 2022, ambazo zilitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya Maafisa Ugani kote nchini.

Waziri Mkuu ameiagiza Wizara  hiyo ihakikishe ifikapo Juni 12, 2022 (Jumapili) ziwe zimeshakabidhiwa kwa Maafisa Ugani. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Profesa Siza Tumbo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents