HabariMuziki

Wenye Hip Hop yao wameitikia, Stan Rhymes 

Kipaji ndiyo kitu alichobarikiwa @stan_rhymes

Ndiyo, Stanley Halidi Wissa alianza kuonekana kwenye Mashindano ya Freestyle Battle, ambapo alikiwasha na jamii kumtambua.

Mitaa ilipomkubali na kumvisha taji la kuiwakilisha Njombe, Stanley Halidi Wissa ndipo akaanza kutoa Solo Projects ambazo ziliitikiwa vizuri na mashabiki wa Muziki wa Hip Hop.

Stanley Halidi Wissa @stan_rhymes mpaka sasa ana Mixtape tatu, ya kwanza Heshima yapili Miaka 800 na ya tatu ikiwa ni Hiastory zote zikiwa zimeendelea kufanya vizuri.

Hip Hop kwa mwenye muziki wake, Stanley Halidi Wissa @stan_rhymes Njombe Finest.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents