Burudani

Weestar ajiondoa Navy Kenzo na kusaini na Ngoma Entertainment

Member wa tatu wa kundi la Navy Kenzo, Weestar amejiondoa kwenye kundi hilo na kusaini mkataba na kampuni mpya ya vipaji iitwayo Ngoma Entertainment.

Navy Kenzo
Nahreel, Aika na Weestar

“Ameamua kuwa huu ni muda wa watu kumfahamu kama Weestar na sio kama member wa tatu wa Navy Kenzo,” yamesema maelezo ya Ngoma Entertainment yaliyotumwa kwa Bongo5. “Anaamini kila msanii ana sauti yake na wajibu wake wa kuwapa watu kile Mungu alichompatia. Single yake ya kwanza kama msanii anayejitegemea inaitwa ‘Naiye’ na inatoka Ijumaa hii kwenye vituo vya redio.”

Sikiliza kipande cha wimbo wa Weestar, Naiye.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents