Burudani

Wizkid atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ya “More Love, Less Ego”

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria na mshindi wa tuzo ya Grammy Ayodeji Ibrahim Balogun alimaarufu WizKid ametangaza rasmi tarehe na mwezi wa kuachia album yake mpya iitwayo “More Love, Less Ego”.


Kupitia ujumbe aliopost uinsta story yake ameweka wazi ujio wa album hiyo ambayo ni tarehe 5-8 mwaka huu.

Grammy Award-winning Nigerian singer, Wizkid has revealed the date for his forthcoming album “More Love Less Ego”. In a series of Instagram stories shared earlier today, the “Reckless” singer also gave followers the listening delight of a short snippet of his new record expected to be part of the album.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents