Mitindo

Kim Kardashian: Nipo tayari kula kinyesi kila siku kama kitanifanya nionekane mdogo

Mwanamitindo maarufu duniano #KimKardashian amezua gumzo duniani baada ya kusema kuwa yupo tayari kula kinyesi ilimradi aendelee kuonekana kuwa bado mdogo kimuonekano.

Wakati anafanyiwa mahojiano na kituo cha New York Times mtoto watoto huyo wa Kanye West Kim Kardashian amesema kuwa “Yuko tayari hata kula Kinyesi kila Siku ila kama kitakuwa na faida kwake maana yake kwamba kama kitamfanya yeye aendelee kuonekane bado mdogo”

Kim Anasema Namukuu: “Kama ungeniambia kuwa natakiwa nile Kinyesi kila siku na nitaonekana bado mdogo ningefanya Hivyo”

“I’ll try anything,” the beauty and reality TV mogul told The New York Times in a recent interview about her new skin care line. “If you told me that I literally had to eat poop every single day and I would look younger, I might. I just might.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents