BurudaniHabari

Wizkid aweka rekodi kwenye show yake Accor Arena Paris

Siku ya jana Bongo5 tuliripoti juu ya staa wa muziki kutoka nchini Nigeria @wizkidayo kuuza tiketi zote katika ukumbi mkubwa zaidi nchini Ufaransa ukiopo katika jiji la Paris.

Sasa usiku wake Show ilifanyika na balaa likawa kubwa sanaa.

Hivi ndivyo @wizkidayo alivyotua kwenye show yake hiyo katika ukumbi huo wa Accor wenye uwezo wa kuingiza watu 20,300.

Mpe neno moja Wizkid 🤓🤔

Show ya jana ya Wizkid inaingia kwenye rekodi ya kuwa moja ya show kubwa sana ambazo @wizkidayo amewahi kuzifanya duniania.

@wizkidayo ameingia kwenye orodha ya wasanii 8 kutoka Afrika ambao wamewahi kuujaza ukumbi wa Accor Arena.

Wasanii hao ni:

1. Koffi Olomide.

2. Papa Wemba

3. Werrason

4. JP Mpiana

5. Youssou Ndour

6. Fally Ipupa

7. Burna boy

8. Wizkid.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents