Burudani

Wizkid kuwasaini Efya, R2Bees na Mr Eazi kutoka Ghana kwenye label yake ya ‘Starboy Worldwide’

Msanii wa Nigeria, Wizkid ametangaza kuwasaini wasanii wa Ghana Efya, R2Bees na Mr Eazi kwenye label yake ya ‘Starboy Worldwide’

wiz

Wizkid aliwatangaza wasanii hao wanaofanya vizuri huko kupitia Twitter muda mfupi baada ya kutumbuiza kwenye Ghana Music Awards ambapo pia alibeba tuzo ya msanii bora wa Afrika.

Wizkid

Wizkid ambaye ameshika nafasi ya 12 katika chart ya wasanii ambao nyimbo zao zinapakuliwa zaidi kwenye mitandao ya iTunes na Spotify, alimtangaza pia rais mpya wa label yake.

Wizkid2

Hii ni chart ya wasanii wanaoongoza kwenye mtandao wa iTunes na Spotify

Wizkid-again-600x341

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents