Michezo
Yacouba Songne ana jambo lake Avic Town
UPDATE: YACOUBA SONGNE – Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga bado haijakamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne kwa msimu ujao. – Mpaka sasa makubaliano ni kuwa atafanya mazoezi katika Kambi ya Yanga hadi atakapopata timu.