Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMakala

Yafahamu mabadiliko aliyofanya Diamond kwenye muziki

Kupitia kipindi cha RECAP NA MANDO @el_mando_tz amezungumza namna @diamondplatnumz anavyozipa thamani biashara zake.

Ameanza na namna ambavyo alianza kwenye muziki na sasa amehamia kwenye media.

@el_mando_tz @diamondplatnumz amekuwa akifanya mapinduzi kwenye biashara anayoifanya.

Kwenye muziki kila mtu ameona alivyofanya hasa kwenye biashara ya kidigitali na namna anavyoipa thamani biashara yake.

Sasa akiwa kama Mkurugenzi wa media watu wanaona namna anavyotafuta vilivyobora kwenda kuipandisha biashara yake.

Mpaka sasa kwenye muziki hakuna anachodaiwa @diamondplatnumz kwa maana ameufikisha muziki sehemu ambayo ukienda kwenye mataifa mengine jina la kwanza kwenye muziki utaulizwa kuhusu @diamondplatnumz

Sasa amehamia kwenye media kuna namna ataifanya tasnia ya habari pia ithaminiwe na kuheshimika zaidi kwa namna anavyowapa heshima Watangazaji. – Maoni ya @el_mando_tz

Kwa namna alivyoongea @el_mando_tz unampa BIG YES 👍 or BIG NO 👎 na kwanini??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents