Michezo

Yanga imepoteza mechi yake ya kwanza katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho

Klabu ya Yanga usiku wa kuamkia leo imecheza pambano lake la kwanza katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya MO Bejaia ya Algeria. Katika mchezo huo Yanga walifungwa goli moja dakika ya 20 na likadumu hadi mwisho wa mchezo.

Bejaia-8

Bejaia-5

Matokeo hayo yanaifanya MO Bejaia ishike nafasi ya pili katika kundi hilo, nyuma ya TP Mazembe ambayo iliifunga Medeama ya Ghana 3-1 katika mchezo wa kwanza mjini Lubumbashi Jumapili, wakati Yanga inashika nafasi ya tatu.
Mechi zijazo za kundi hilo, Yanga watakuwa wenyeji wa Mazembe Dar es Salaam na Medeama wataikaribisha Mo Bejaia.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents