HabariMichezo

Yanga yaitumia salamu Madeama.?

Ushindi mnono waliyopata @yangasc leo wa 4-1 mbele ya Mtibwa Sugar ni dhahiri watakuwa wametuma salamu kwa Klabu ya Madeama.

Jumatano ya Disemba 20,2023 Young Africans wataikaribisha Madeama kwenye Mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Licha Idadi kubwa wanayofunga Ligi Kuu ya NBC lakini bado Yanga haina makali kwenye Makundi ya CAF kwani safu yake ya Ushambuliaji inaonekana butu hali inayopelekea kuburuza mkia kwenye group lake ikiwa ya nne na alama zao mbili Tu.

Je, Unadhani kwa nini Yanga Wanafunga magoli mengi kwenye Ligi Kuu ya NBC kuliko Makundi ya CAF..?😳😳

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents