Burudani

Picha: Tiffah alivyoiongezea furaha familia ya Zari Afrika Kusini

Pamoja na kuwa ni watoto wa baba tofauti, watoto wa kiume wa Zari wamempokea kwa furaha kubwa Tiffah, mtoto wa Zari the Bosslady.

11356678_969639193088473_1391727929_n
Zari kwenye picha hii ameandika: If anybody ever said perfect doesn’t exist, they were wrong. It surely does!!!! Look at my ‘perfect’ lil life

Baada ya Tiffah kufikisha siku 40, sasa ni muda wa kuonana na kaka zake hao watatu wanaoishi nchini Afrika Kusini.

12063067_504973169676808_876703061_n

Mrembo huyo wa Uganda mwenye makazi yake South ameendelea kushare picha zinazowaonesha wanae wakicheza kwa upendo mkubwa na mdogo wao Tiffah.

10818117_470942569733664_1896259450_n

Katika picha nyingine aliyoshare jana Zari aliandika, “Someone didn’t move an inch… spent half of his night just staring,” ameandika Zari kwenye picha hiyo.

Zari na Tiffah walielekea Afrika Kusini wiki hii baada ya kukaa Tanzania kwa kipindi cha miezi takriban mitatu tangu akiwa mjamzito.

928864_131838347170081_262449761_n
Tiffah akifurahia usingizi kwenye ndege wakati yeye na mama yake wakiwa safarini Afrika Kusini

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents