Burudani

Zuchu ataja tarehe ya kuachi nyimbo mbili kwa pamoja

Staa wa muziki kutoka katika lebo ya WCB @officialzuchu amewataarifu mashabiki wake kuwa mnamo tarehe 24/6 ataachia ngoma mbili.

Kupitia post hiyo @officialzuchu amewaomba mashabiki wamtajio ngoma wanayoitaka huki yeye akiwatajio ngoma yake pendwa.

Ameandika kuwa: “24/06/2022 Ndo siku yetu naomba tena radhi kwa usumbufu nitakaosababisha 😎.DOUBLE RELEASE 🤗🤗
1:JARO
2:….?

Naomba mnisaidie jina Kwa ajili ya hii DOUBLE RELEASE

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents