Habari

2018 tuutumie kutafakari mwelekeo wa Taifa letu – Mh. Halima Mdee

Mbunge wa Kawe, Halima James Mdee amewataka watanzania kutumia mwaka mpya wa 2018 kutafakari kwa kina mwelekeo wa Taifa na kuchukua hatua kila mmoja kwa pale panapohitajika kurekebishwa.

Mh. Mdee ametumia ukurasa wake wa Twitter kuyasema hayo kwenye salamu za Mwaka Mpya ambapo alisema kuwa Tanzania ni yetu sote.
Maneno ya Mh. Halima Mdee kwa Watanzania kuukaribisha mwaka 2018

Heri ya Mwaka Mpya Watanzania we zangu. Mwaka 2018 tuutumie vyema kutafakari kwa kina mwelekeo wa Taifa letu na tuchukue hatua kila mmoja kwa nafasi yake pale ambapo tunadhani panahitaji kurekebishwa kwa maslahi mapana ya Nchi Yetu.Hakuna mwenye wajibu wa ZIADA ,Tanzania ni yetu!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents