Burudani

50 Cent apewa leseni ya upromota wa masumbwi


Rapper wa G-Unit, 50 Cent ameongeza ‘title’ mpya kwenye CV yake kutokana na ripoti zinazosema kuwa weekend hii jamaa amekabidhiwa rasmi leseni ya upromota wa ndondi katika jimbo la New York.
Kwa mujibu wa ripoti, Fif anatafuta pia kibali kingine kwenye jimbo la Nevada.
Mwandishi wa jarida la Sports Illustrated, Chris Mannix anaripoti kuwa kampuni yake inaitwa The Money Team Promotions (TMT) na anashirikiana na rafiki yake kipenzi Floyd Mayweather.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents