Michezo
Adebayo atua Singida Black Stars
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/06/ADEBAYOOOOO.jpg)
SINGIDA Black Stars (zamani Ihefu) imedaiwa ipo katika mazungumzo na nyota aliyewahi kutakiwa na Simba, Victorien Adebayo kutoka NigerĀ sambamba na kipa kutoka AC Horoya ya Guinea, Mohamed Kamara.
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/06/ADEBAYOOOOO-600x400.jpg)
Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa, Singida inamtaka Adebayor aliyewahi kucheza RS Berkane na AmaZulu.