Burudani

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie – Shamfa Ford

Wakati moto ukiendelea kuwaka Hamisa Mobetto kujulikana kuzaa Diamond Platnumz wakati akiwa na mahusiano na mpenzi wake Zari. Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka na kuwafunda wanawake kwa kusema kuwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.

Shamsa Ford ambaye ni mke wa halali wa Chid Mapenzi, mashabiki wameibua mzozo katika mtandao wa Instagram ambao baadhi ya mashabiki wamedai kuwa anamuonea wivu Hamisa.

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.haitakuja kutokea kamwe wanawake tukapendana.mwanamke ndo huwa mstari wa mbele kumuumiza na kumdhalilisha mwanamke mwenzie.kabla ya kumuumiza mwanamke mwenzio jaribu kuvaa viatu vyake ingekuwa wewe ungefanyaje..wanawake sisi daaa####TUNAHITAJI MAOMBI

Shamsa amekuwa akiutumia ukurasa wake wa instagram kuwandika mambo mbalimbali ya kushauri wanawake na watu ambao bado hawajaingia kwenye ndoa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents