Burudani

Akaunti ya Vera Sidika yakombwa

Mwanadada Vera Sidiki amelazimika kufungua akaunti mpya ya mtandao wa kijamii ya Instagram baada ya akaunti yake ya mwanzo kudukuliwa.

Akaunti ya awali ilikuwa na zaidi ya watu 690k wakimfuatilia ila sasa akaunti mpya aliyofungua ina watu 13.9 k wanaomfuatilia.

Tabia ya kudukuliwa kwa akaunti maarufu imekuwa ikijitokeza mara kwa mara, huku wengine walishindwa kuzirudisha na kulazimika kufungua akaunti mpya.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents