Habari

Akon ana ‘kifaa’ kipya, she is hot!!

Hivi karibuni Akon ameonekana na kifaa kipyaa huko Venice, Italy ambapo mpenzi wake huyo hata hivyo hajulikani ni nani na kamtoa wapi!

Walitumia muda huo kuzunguka majini katika mji huo kwa ‘a long romantic gondola ride’.

Akon, ambaye anaonekana kubadilisha mademu kila kukicha (na huenda wake sababu tunajua anao wengi) alionekana kumpakata mkononi kimwana huyo katika kile kilichoonekana kama kula bata mjini humo weekend iliyopita.

Hivi karibuni Akon alikuwa nchini Kenya ambapo anadaiwa kutembea na mrembo wa nchini humo aitwaye Huddah Monroe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents