Burudani

Albamu ya Diamond mbaya kama sura yangu – Harmorapa

Msanii wa Rap Bongo,Harmorapa ameibuka na kuiponda Albamu ya Diamond β€˜A boy from Tandale’ na kudai ni mbaya kama ilivyo sura yake.

Harmorapa ambaye amejipatia umaarufu kwa kudaiwa kupenda kiki ameiponda Albamu hiyo iliyofanyiwa uzinduzi rasmi nchini Kenya hivi karibuni.

β€œBro #chibu nae kelele nyingi za album miez saba mwisho wa siku anatutolea Album mbovu kama sura yangu sokwe😑😑cha kukushaur simba kama mkataba wako wa karanga umeisha kaa dukani kwa Dada yako #Esma umsaidie kuuza vitenge πŸ˜”πŸ˜” –
Dunia Kwa sasa inasubili ulbum yangu ya #uThigawePathi na ulubamu ya #kingkiba_for_lifeπŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ,β€œ
ameandika Harmorapa kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents