Soka saa 24!

Alikiba afunguka kuhusiana na zile taarifa kwamba kashuka kimuziki ndo mana hapati tuzo (Video)

Awajibu wanaodai kashuka kimuziki

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Salehe alimaarufu Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye hajashuka kimuziki.Ali aliongeza ” Sijashuka kimuziki ningekuwa nimeshuka basi wasingeniingiza kwenye hizo tuzo zao za Afrimma,halafu mimi sifanyi muziki ajili ya tuzo mimi pesa zangu nafanya kwa kuuza muziki wangu na kufanya Show,kwahiyo tuzo sizitilii maanani sana”

Msanii huyo alifunguka hayo wakati anapiga stori na Bongo five,aliongea hayo alipoulizwa kuwa watu wanasema kama kashuka kwani ndani ya miaka miwili hajafanikiwa kuchukua tuzo yoyote kubwa Afrika.

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW